NAMNA WANAWACHUONI WA SAUDI ARABIA WALIVYO IENZI FAMILIA YA MTUME NA SWAHABA

MASWALI YA MASHINDANO MAKUBWA YA KUMI NA TATU YA MWAKA 1442H


عربي
English
Português
Kiswahili
Français
Chichewa
Hausa
Amharic


عربي
English
Português
Kiswahili
Français
Chichewa
Hausa
Amharic

MASHARTI YA MASHINDANO

NI MARUFUKU KUJAZA ZAIDI YA NAKALA MOJA KWA MSHINDANI MMOJA. IKIBAINIKA, ZOTE ZITATUPWA

ATAZINGATIWA KUWA MSHINDI YULE ALIYEJIBU KWA USAHIHI MASWALI YOTE KASORO MASWALI MAWILI.

MSHINDANI AWE TAYARI KUTAHINIWA ANA-KWA-ANA JUU YA MASWALI YOTE ALIYOYAJIBU KATIKA WARAKA HUU.

NI LAZIMA MAJIBU YAFANYWE MTANDAONI KUPITIA TOVUTI YA MASHINDANO. IWAPO MAJIBU HAYO YATAJIBIWA KATIKA KARATASI NI LAZIMA YAINGIZWE KATIKA TOVUTI

MWISHO WA KUPOKEA MAJIBU KWA NJIA YA KIUNGANISHI CHA MTANDAONI NI TAREHE 29/10/1442 H SAWA NA TAREHE 10/6/2021

مراجع المسابقة

1ـ سؤال وجواب في أهم المهمات، للشيخ عبدالرحمن بن ناصر السعدي
2ـ التنبيهات اللطيفة فيما احتوت عليه الواسطية من المباحث المنيفة، للشيخ عبدالرحمن بن ناصر السعدي
3ـ فتاوى الشيخ محمد بن إبراهيم
4ـ شرح العقيدة الواسطية من تقريرات سماحة الشيخ محمد بن إبراهيم
5ـ العقيدة الصحيحة وما يضادها، للشيخ عبدالعزيز بن باز
6ـ مجموع مقالات وفتاوى متنوعة، للشيخ عبدالعزيز بن باز
7ـ مجموع فتاوى ورسائل ابن عثيمين
8ـ فتاوى الشيخ صالح الفوزان على موقعه

SAFARI YA HIJA (ikiwa itawezekana)
SIMU ZA MKONONI
KIFAA CHA KIELETRONIKI AINA YA TABLET
previous arrow
next arrow
Slider

ZAWADI ZA MASHINDANO

ITAPIGWA KURA KATI YA WASHINDI WALIOSHINDA KATIKA OFISI KUU YA KAMATI YA ULINGANIAJI KWA AFRICA, RIYADH, SAUDI ARABIA. WASHINDI SABA WA MWANZO WATAKAOSHINDA (KWANJIA YA KURA) KUTOKA KATIKA KILA NCHI    WATAZAWADIWA MOJA YA  ZAWADI ZIFUATAZO:

ANGALIZO: Idadi ya watakaopata zawadi itapungua katika kila nchi kulingana na uchache wa washiriki wa mashindano katika nchi hiyo.

أسئلة المسابقة

لطباعة الأسئلة والاطلاع عليها

Close Menu